CLINIC YA MADAKTARI BINGWA WA MASIKIO,PUA,NA KOO KUTOKA HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA

Mganga Mkuu mfawadhi wa hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Iringa anawatangazia wakazi wote wa mkoa wa Iringa na maeneo jirani kuwa kutakuwa na madaktari bingwa wa Masikio,Pua na Koo (ENT) na Mifupa  (Orthopedic) kutoka hospitaliya Benjamin Mkapa na kutoka hosptali ya Rufaa ya mkoa wa DODOMA.

Huduma hii ni kuanzia tarehe 12/04/2021 mpaka tarehe 17/04/2021

- 12 April 2021