UJIO WA MADAKTARI BINGWA KUTOKA HOSPITALI YA BENJAMINI MKAPA DODOMA

Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Iringa anawatangazia ujio wa madaktari bingwa kutoka Hospitali ya Benjamini Mkapa Dodoma ambao watatoa huduma kwa muda wa siku 5 kuanzia tarehe 17/02/2020 hadi tarehe 21/02/2020 katika huduma zifuatazo.

1. Dkt wa mifupa (Orthopedic)

2.Dkt wa masikio, koo na pua (ENT)

3. Dkt wa njia ya mkojo (Urologist)

4.Dkt wa watoto (Paediatrician)

- 18 February 2020