Doris Mollel Foundation Watoa Msaada Kwa Watoto Wanaozaliwa Chini Ya Miezi 9(Pre-Mature) Katika Hospitali Ya Rufaa Ya Mkoa Wa Iringa.

image description

Wednesday 1st, February 2023
@Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Iringa

Mkurugenzi wa mfuko wa Doris  Mollel dada Doris W Mollel akiambatana na Mkuu wa Wilaya Mhe:Richard Kasesela, Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa Dkt Atupele Mwandiga, Pamoja na wajumbe wa UWT CCM walifika katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Iringa tarehe 13-01-2020 na kutoa msaada wa vifaa mbali mbali kwa watoto wanaozaliwa chini ya miezi 9(pre-mature)