Maadhimisho Ya Siku Ya Wauguzi Duniani Hospitali Ya Rufaa Ya Mkoa Wa Iringa.

image description

Wednesday 1st, February 2023
@Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Iringa

Wauguzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Iringa wakiongozwa na Muuguzi Mfawidhi Victoria Ntara, wameadhimisha siku ya wauguzi Duniani kwa kujengeana uwezo kupitia uwasilishaji wa mafunzo mbali mbali, ikiwa ni pamoja na kauli mbiu ya wauguzi “wauguzi sauti ya uongozi, uuguzi afya kwa Dunia nzima”.