Nafikaje Iringa RRH

Kutokea stendi ya mabasi Igumbilo chukua usafiri wowote mpaka mjini kwenye mnara wa posta kisha ulizia hospitali ilipo.