Our Services
Lorem Ipsum
Hospitali ya rufaa ya mkoa wa iringa ina madaktari bingwa wa upasuaji wawili waliobobea kwa ajili ya upasuaji.
readmoreHospitali ya rufaa ya mkoa wa Iringa ina wodi za kutosha za aina zote zenye ubora na huduma safi kutoka kwa wauguzi wazoefu waliobobea.
readmoreHospitali ya rufaa ya mkoa wa Iringa ina maabara mbili ya nje na ya ndani kwa ajili ya huduma safi na bora katika upimaji na utafiti wa vipimo mbali mbali.
readmoreHospitali ya rufaa ya mkoa wa Iringa inatoa huduma za matibabu kwa wagonjwa wa nje kwa muda wote wa masaa 24.
readmore