Wiki hii kuanzia tarehe 14/03 mpaka tarehe 20/03/2022 ni wiki ya Afya ya Kinywa na Meno na kitaifa itafanyika mkoani Songea. Dr Atupele Mwandiga amesema ni muhimu wananchi kufanya kufanya... Read More
Habari

Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Iringa imezindua huduma ya kusafisha damu inayojulikana kama DIALYSIS,ambapo tayari wagonjwa wameanza kupata huduma hiyo. Mkuu wa Mkoa wa IRINGA Mh QUEEN SEN... Read More

Hospiali ya Rufaa ya Mkoa wa IRINGA imeanzisha huduma ya kusafisha damu katika figo inayojulikana kama DIALYSIS,na tayari wagonjwa kutoka mkoa wa Iringa wameanza kupata huduma hiyo.... Read More

Kazi ikiendelea ya Ukarabati wa majengo ya Wodi ya Magonjwa ya Akili katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Iringa ... Read More

Mganga Mkuu wa Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Iringa Dokta Alfred Mwakalebela amepokea msaada wa mashuka 40 kutoka Mfuko wa Bima ya Afya NHIF. Msaada huo Ulikabidhiwa na Meneja wa NHIF Mkoa wa I... Read More
Wananchi wa mkoa wa Iringa na mikoa jirani wametakiwa kujitokeza kwa wingi kupima ugonjwa wa saratani ya shingo ya kizazi ambao kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa wanasema wanawake laki tatu huf... Read More

Ni ujenzi unaoendelea katika hospitali ya rufaa mkoa wa Iringa, jengo la magonjwa ya dharura(Emergence Medical Department) kama ajali, kisukari kikali, covid-19, Ebola, Kiharusi, ujenzi huu ... Read More

Mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela kulia akifuatiwa na katibu tawala wa mkoa wa Iringa Happines Seneda na mtendaji mkuu wa taasisi ya Doris Mollel na mwisho kabisa ni mganga mkuu wa h... Read More
Kumekuwa na ongezeko la magonjwa yasiyoambukiza nchini Tanzania kama ugonjwa wa kisukari,presha,pamoja na ajali Ugonjwa wa kisukari na presha ni magonjwa yanayoonekana kuwatesa watu wengi... Read More

Wauguzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Iringa wakiongozwa na Muuguzi Mfawidhi Victoria Ntara, wameadhimisha siku ya wauguzi Duniani kwa kujengeana uwezo kupitia uwasilishaji wa mafunzo mba... Read More