HUDUMA ZA DIALYSIS

Posted on: February 10th, 2022

Hospiali ya Rufaa ya Mkoa wa IRINGA imeanzisha huduma ya kusafisha damu katika figo inayojulikana kama DIALYSIS,na tayari wagonjwa kutoka mkoa wa Iringa wameanza kupata huduma hiyo.